RAIS KIKWETE ATEMBELEA BUNGE LA MSUMBIJI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo wakipokea heshima.
Spika wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais Kikwete katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya naye mazungumzo.
Rais Kikwete akimtambulishwa kwa baadhi ya wabunge.
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari Bungeni Maputo (kulia), Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo.
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.Picha na Freddy Maro
Post a Comment: