MWANZA Eeng'washi, Eeminza, Ng'waguku, Ng'wanene
Mh Edward Lowassa akiwasili uwanjani jijini Mwanza jana jioni
Mh Lowassa akikaribishwa na mgombea mwenza Mh Juma Haji Duni
Mh Duni akihutubia maelfu ya wakazi wa mwanza
Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya wamu ya tatu Mh Sumaye akihutubia halaiki ilijitokeza
Mh James Mbatia mwenyekiti mwenza wa ukawa akiwasalimu wananchi

msafara waazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kumsindikiza mgombea

Post a Comment: