MAMA SAMIA AFANYA KAMPENI MAJIMBO YA MWANZA NA KUMPIGISHA PUSH UP MBWA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM2CONf4j2bqOLqTBcyJ93tr2hGgb-trypLGoKBtucXaf4DCbFkQ7mymXPQfZPr67OQPtsolO2ec2HdiLYFWO3wovxUsDLU_PSfWy-MO7k-tBHnII3JLMkhiUfWYO_Ks2Q96tsBj0h7xU/s640/DSC_0230.jpg)
Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
Mwananchi
akiwa na bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John
Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Kisasa,
jimbo la Magu mkoani Mwanza
MAAJABU:
Mbwa aliyekuwa katikakati ya wananchi akipiga push Up 'kumuiga'
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa
kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza, Mama samia Suluhu Hassan katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu
mkoani Mwanza
Msanii
wa Bongo Movie anayeunda kundi la Mama Ongea na Mwanao la kupiga
kampeni za CCM, Wema Sepetu, akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akijadiliana jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Magu, Kiswaga Destery
katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Kisesa mkoani Mwanza ,
leo.
Wagombea
Udiwani jimbo la Magu, wakiwasalimia wananchi walipotambulishwa na
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Katika mkutano wa kampeni
uliofayika leo katika eneo la Kisesa mkoani Mwanza.
Post a Comment: