Wednesday, 14 October 2015

MAMA REGINA LOWASSA
 Mama  Regina Lowassa akiongea na akina mama wa mjini mafinga leo mchana



Mama Regina Lowassa akimkaribisha mke wa waziri wa elimu wa serikali ya awamu ya tatu na mkurugenzi Southern Highland School ,Mama Mungai kuongeza na wakazi wa mji wa Mafinga
 akimtambulisha kwa wananchi na kumuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Mafinga kwa tiketi ya Chadema na Ukawa Mh Willy Mungai








Post a Comment: