Thursday, 8 October 2015



























HIVI NDIVYO HALI ILIVYO SASA KATIKA VIWANJA VYA SINONI,UNGA LIMITED ARUSHA AMBAKO UNAFANYIKA MKUTANO WA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA KUPITIA CHADEMA ,MH EDWARD NGOYAI LOWASSA

MKUTANO HUU UTAKUA LIVE ITV NA RADIO 5 AMBAYO INAPATIKANA KWA FREQUENCY  ZA 91.3 FM DAR ES SALAAM ,105.7 FM KWA WAKAZI WA  ARUSHA,BUKOBA,MARA,91.3 FM MBEYA NA SUMBAWANGA,92.5 IRINGA NJOMBE NA RUVUMA.93.8FM KWA WALE MLIO TANGA,MORO NI 94.8FM NA DODOMA NI 88.6FM

Post a Comment: