KUTOKA MAGAZETINI LEO TAREHE 8/10/2015
Jaji Warioba: Msimamo wangu kuhusu Katiba palepale
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema msimamo wake kuhusu kuheshimiwa kwa maoni ya wananchi katika mchakato wa kupata Katiba Mpya upo palepale, kwamba ni lazima Taifa lisikilize wananchi wanataka nini ili kufikia mwafaka....Published By: Mwananchi
Published By: Mwananchi
TUNAJITAHIDI KUTEKELEZA SERA NA MIPANGO YA MAENDELEO JUMUISHI-TANZANIA
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya Maendeleo ya Jamii katika Mkutano wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kamati Sita zinazounda Baraza hilo zimeanza mikutano yake ikiwa ni wiki moja tangu kukamilika kwa mikutano ya Kilele ya Viongozi wa Kuu wa Nchi na Serikali iliyofanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa....Published By: ZanziNews
BURUNDI-RWANDA-DIPLOMASIA: Mshauri mkuu wa ubalozi wa Rwanda afukuzwa Burundi
0 Afisa mmoja wa Ubalozi wa Rwanda mjini Bujumbura amefukuzwa kuondoka nchini Burundi na kurejea nchini mwake kwa tuhuma za kuingilia masuala ya ndani ya nchi ya Burundi kufuatia mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo. Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza (kulia). AFP PHOTO/JOSE CENDON Standard ...Published By: RFI France
Post a Comment: