Sunday, 4 October 2015

Chadema yazidi kuikalia kooni NEC

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Chadema inawasumbua kutokana na madai yao ya mara kwa mara, lakini chama hicho kikuu cha upinzani hakijakoma; kimeitaka Tume kujibu mambo matano kuhusu Uchaguzi Mkuu....
l Published By: Mwananchi

WanaCCM waaswa kujiepusha siasa za chuki

   STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE 3.10.2015VIONGOZI
Zanzibar wa CCM Zanzibar wamewataka wananchi na wanaCCM wa kisiwa cha Pemba kuepuka siasa za chuki zilizoanza kurejeshwa tena na wafusi wa chama cha CUF licha ya kuwa tayari chama hicho kimefanya maridhianao na hivi sasa kimo katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye muundo wa Umoja wa Kitaifa.Hayo waliyasema viongozi wa CCM Zanzibar katika Mkutano wa CCM wa Kampeni za uchaguzi uliofanyika huko Kiungoni, Jimbo la Mgogoni Mkoa wa Kaskazini Pemba uliohudhuriwa na maelfu ya wanaCCM.Naibu Katibu Mkuu wa CCM...
Published By: ZanziNews

Rais Kikwete Alipokutana na Madereva wa Mabasi ya Mikoani Ubungo Plaza Jijini Dar.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete akizungumza na Madereva wa Mabasi ya Mikoani katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar-es-SalaamPicha na Ikulu:ZanziNews

Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze

Mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia leo alfajiri kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa, Chalinze, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffar Mohamed amethibitisha....
Published By: Mwananchi

Post a Comment: