KUTOKA MAGAZETINI LEO TAREHE 18/10/2015
Chanzo ajali ya Filikunjombe
Mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe na wenzake watatu, akiwamo Kepteni William Silaa wamefariki dunia katika ajali ya helikopta, ambazo wataalamu wanasema husababishwa na kosa la kibinadamu la rubani....Published By: Mwananchi
Tanzania elections: Lessons for East Africa
As Tanzanians prepare to usher in a new presidency, the heat from that contest is being felt throughout the region. This is best illustrated by some of the comments made by President Jakaya Kikwete during his recent state visit to Kenya...Published By: Daily News Online Edition
CCM, Chadema wapigana, wachoma moto maduka
Zikiwa zimebakia siku saba kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, hali ni tete katika Kijiji cha Nyamiyaga, Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa vyama vya CCM na Chadema kupigana kisha kuharibu magari, pikipiki na kuchoma moto maduka..Published By: Mwananchi
Uzinduzi wa ajenda ya CUF ya kuigeuza Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki
Baadhi ya vijana wa vyuo vikuu walioshiriki uzinduzi huo wa ajenda ya CUF ya kuigeuza Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki. (Picha na Salmin Said, OMKR) Baadhi ya vijana wa vyuo vikuu walioshiriki uzinduzi huo wa ajenda ya CUF ya kuigeuza Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki. (Picha na Salmin Said, OMKR) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionesha filamu yenye ajenda ya kuigeuza Zanzibar kuwa Singapore, baada ya kuizindua rasmi katika ukumbi wa Majid, Kiembesamaki. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akijibu..Published By: ZanziNews
Mkapa: CCM ikishindwa dunia itashitushwa
Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashindwa kushika dola katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika siku nane kuanzia leo, dunia nzima itashitushwa kutoka na chama hicho kuwa na misingi imara ya uongozi. Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana, katika Viwanja vya Tangamano wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia chama hicho, Omari Nundu na madiwani wa kata 27. Alisema itakuwa ni maajabu na ulimwengu utashangazwa nchi hii kuongozwa na viongozi ambao vyama vyao ni...Published By: Mtanzania
Post a Comment: