Saturday, 17 October 2015

Muhula wa Uongozi Afrika: Urais wa maisha utakuwa historia?

Wakati siku ya uchaguzi ikiwa inakaribia kwa kasi Oktoba 25 nchini Tanzania, Rais Jakaya Kikwete wa nchi hiyo anajitayarisha kuondoka madarakani baada ya kuongoza kwa mihula miwili. Kulingana na katiba ya Tanzania Rais Kikwete hawezi kugombania tena urais kwani katiba hiyo inasema kila kiongozi ataongoza kwa mihula miwili tu ya miaka mitano. Tanzania imekuwa ikifuata urataratibu huo tangu mwaka 1985 wakati Rais Ali Hassan Mwinyi alipochukua uongozi baada ya kujiuzulu kwa Mwalimu Julius......Published By: VOA News Swahili

Maalim Seif kuwaunganisha wazanzibari bila ya kujali itikadi za kisiasa, udini na ukabila

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa dini ya Kikristo waliopo Zanzibar katika kituo cha utengamano kilichopo Welezo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa dini ya Kikristo waliopo Zanzibar katika kituo cha utengamano kilichopo Welezo.Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo waliopo Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akizungumza nao katika kituo cha utengamano kilichopo Welezo Zanzibar. (Picha na OMKR)Na: Hassan Hamad, OMKRMakamu...Published By: ZanziNews

Idadi ya wapigakura siyo msingi wa vyama kushinda-Wachambuzi

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini wamesema idadi kubwa ya wapigakura katika mikoa ambayo ni ngome kuu za baadhi ya vyama vya siasa siyo msingi wa vyama hivyo kushinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu....Published By: Mwananchi

Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta

Mgombea ubunge jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Deogratius Filikunjombe, rubani na abiria wengine wote wamekufa baada ya helkopta kuanguka na kuteketea katika hifadhi Selou....Published By: Mwananchi 

Post a Comment: