Friday, 16 October 2015

Lowassa aionya NEC, Magufuli atambia barabara

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesifu kazi ya ujenzi wa barabara katika miaka 10 iliyopita, huku mgombea wa Chadema, Edward Lowassa akiituhumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa imempotosha Rais Jakaya Kikwete....
Published By: Mwananchi

Lowassa ainyooshea kidole NEC

*Asema isipokuwa makini itavuruga uchaguzi *Mbowe atoa elimu mpya kwa wapigakura   NA FREDY AZZAH, MAGU MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameionya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba kama haitakuwa makini, inaweza kuvuruga uchaguzi mkuu. Lowassa ambaye anaungwa mkono na vyama vinne vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Sabasaba, mjini Magu jana. Alitoa kauli hiyo kutokana na takwimu za wapigakura zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete juzi, zikionyesha kutofautiana na..
Published By: Mtanzania 

Kuanguka chopa utata

Chopa inayosadikiwa kubeba makada wa CCM imezua utata baada ya kudaiwa kudondoka katika eneo la Msolwa, Hifadhi ya Selous...
Published By: Mwananchi

Post a Comment: