Sunday, 11 October 2015

kinachoendelea hivi sasa mjini musoma ni hali ya furaha nderwemo na vifijo kwa wakazi wa mji katika  shamrashamra za kumpokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh Edward Lowassa
ambaye anategemewa leo jioni kuwahutubia wakazi wa mji huo makao makuu wa mkoa wa mara.
shamrashamra hizo zimeenda sambamba na kutukumbusha yale yaliotokea 2013 jijini dar es salaam  wakati ziara ya rais wa marekani pale serikali yetu ilipoamua kuzisafisha na kupiga deki barabara zote za jiji zilizopitiwa na rais obama vivyo hivyo ndivyo wakazi wa musoma mjini wanachofanya katika mapokezi ya Mh Lowassa
na wakati hayo yote yakiendelea mtaani pia tumearifiwa  kuwa mheshimiwa  muda huo alikua akishiriki ibada pamoja na wana musoma mbali mbali 







  mh Edward Lowassa akiongea na watoto waliokuja kumlaki baada ya ibada mapema leo hii

Post a Comment: