Thursday, 8 October 2015


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais JAKAYA KIKWETE alizaliwa Siku ya JUMAMOSI OCTOBA 7 Mwaka 1950 katika kijiji cha Msoga, kata ya Lugoba, tarafa ya Msoga, Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
Rais JAKAYA KIKWETE Alizaliwa katika familia ya wanasiasa ambapo Babu yake Mzee Mrisho Kikwete alikuwa chifu wa kabila la Wakwere.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anamaliza kipindi cha utawala wake wa miaka kumi amefanya mambo mengi ya maendeleo na kustawisha hali ya uchumi na jamii ya Tanzania kadiri alivyoweza. Kama binadamu viongozi wengine, ameffanya juu chini kutekeleza alichohiahidi kwa wananachiwake tangu aingia mdarakani mwaka 2005. Baadhi ya mambo aliyoyafanya ni yafuatayo:
1. Ujenzi wa barabara za lami zaidi ya kilomita 17,000.
2.Kuchimba gesi asilia Mtwara na kuweka bomba hadi Dar.
3.Kuwapa kipaumbele wanawake kwenye uongozi kitaifa.
4.Kujenga madaraja kwenye mito mikubwa nchini.
5.Kujenga chuo kikuu cha Dodoma.
6.Kuleta mabasi ya mwendo kasi jijini Dar.
7. Kumleta Kocha wa Timu ya Taifa Stars, Marcio Maximo, na kumlipa mshahara.
8. Kuinua wasanii, wanamuziki na waigizaji nchini.


PAMOJA NA YOTE MEMA ULIYOYAFANYA WANA MTAA WA SIASA  KATIKA HEKAYA ZAO JANA WANAKUOMBA ILI WAKUPE HESHIMA YA BABA WA DEMOKRASIA TANZANIA BASI HIYO OCT 25 UKUBALI KUKABIDHI MADARAKA KWA WANANCHI KIROHO SAFI

Post a Comment: