Designed By: Blogger Templates | Templatelib
Katika hali isiokuwa ya kawaida mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi jimboni Kyela ameonja joto jiwe Mara baada ya kurushiwa mawe kwa siku mbili mfululizo.
Baadhi ya wananchi niliwaona wakati wa tukio wanasema hawataki kalele za nyimbo za Tot kwakuwa hakuna cha maana alichofanya kwa kipindi chote cha uwakilishi wake bungeni.Baadhi ya magari ya msafara wake yameharibiwa vibaya.
Post a Comment: