BREAKING NEWZ TANZIA:MH DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI DUNIA
Marehemu Mh Deo Filikunjombe
HABARI
ZILIZOTUFIKIA SASA NI KUA ALIYEKUA MBUNGE WA LUDEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA
KAMATI ZA HESABU ZA SERIKALI, MH DEO FILIKUNJOMBE AMEAGA DUNIA KUTOKA NA AJALI YA
HELKOPTA NAMBA 5Y-DKK ILIOTOKEA JANA JIONI MAENEO YA MBUGA ZA SELOUS.
KATIKA
TAARIFA YA MSEMAJI WA KAMPENI ZA CCM NA MJUMBE KAMATI ZA KAMPENI ZA MAGUFULI
,MH JANUARY MAKAMBA KUPITIA MTANDAO WAKE WA KIJAMII WA TWITTER AMEDHIBITISHA
HILO.
NAYE
MEYA WA ILALA MH JERRY SILAA KUPITIA AKAUNTI YA
MTANDAO WA INSTAGRAM AMEANDIKA "KWA MASIKITIKO MAKUBWA NIMEPOKEA
TAARIFA RASMI KUTOKA KWA TIMU YA UOKOAJI IMEFANIKIWA KUFIKA ENEO LA AJALI NA
KUKUTA ABIRIA WOTE NA RUBANI WAMEPOTEZA MAISHA ,NIMEPOTEZA BABA YANGU CAPT WILLIAM
SILAA NA RAFIKI,KIONGOZI WANG MH DEO
FILIKUNJOMBE "
KAZI YAKE MUNGU IHIMIDIWE NA AWAPE
PUMZIKO LA AMANI NA MILELE
"AMINA"


Post a Comment: