BREAKING NEWZ : TANZIA ,MH EMMANUEL MAKAIDI AAGA DUNIA
Thursday, October 15, 2015
Marehemu Hayati Emmanuel Makaidi
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI SASA NI ALIYEKUA MWENYEKITI MWENZA WA UKAWA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NLD,AMEEAGA DUNIA HIVI PUNDE.TAARIFA ZAIDI JUU YA KIFO CHAKE NA MENGINEYO ZITAKUJIA HIVI PUNDE HAPAHAPA
MAREHEMU DR.MAKAIDI ENZI ZA UHAI WAKE
Post a Comment: