BREAKING NEWZ TANZIA : MCHUNGAJI MTIKILA HATUNAYE TENA
mchungaji mtikila enzi za uhai wake
habari zilizotufikia punde ni kua aliyekua mwenyekiti wa chama cha upinzani cha DP Ndugu Christopher Mtikila amefariki dunia alfajiri ya leo kwa ajali ya gari iliotokea katika kijiji cha msolwa wilaya ya chalinze, mkoa wa pwani ambao marehemu aliaga dunia papo hapo na wenzie watatu kujeruhiwa
gari alilopata nayo ajali marehemu mtikila na wenzie
Post a Comment: