BREAKING NEWZ : POLISI WAWAKAMATA VIJANA WA CHADEMA KATIKA CENTRE YAO YA UHAKIKI NA UJUMUISHO WA KURA
Kwa habari tulizozipata hivi punde na kudhibitishwa na maafisa wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) ni kuwa vijana wa chama hicho waliokua wamepewa kazi maalumu ya kuhakiki na kujumlisha kura zote za chama hicho am bao ni vijana wa kutoka vyuo vikuu waliojitolea kufanya kazi hiyo ya chama wameakamatwa na polisi usiku huu maeneo ya Mesuma Hotel ambako ndipo walipokua wameweka kambi hiyo.
akitoa taarifa kupitia akaunti yake binafsi kwenye mtandao wa jamii wa twitter ,mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema tukiuo hilo la polisi ni kinyume na sheria lakini pia ni uonevu /mabavu ya hali juu kwa maana chama cha mapinduzi CCM nao pia wanaendesha shughuli kama hiyo katika kambi yao iliopo mliman city na polisi wanajua ila kwakua ni serikali yao ya mabavu ndio maana wamekuja kukamata viojana wa Chadema pekee
Akisistiza hilo Mh Mbowe amesema tayari wameomba polisi wawaachie mapema iwezekanavyo vijana hao
"Police have invaded our Presidential TallyingCentre & are currently holding and interogatting our young university student volunteers" haya ni moja ya maneno ya Mh Mbowe aliyoyapost kwenye akaunti ya @freemanmbowetz akiutaarifu umma wa Tanzania
Post a Comment: