Saturday, 17 October 2015

KWA  HABARI TULIZOZIPATA HIVI PUNDE NI KUA YAMETOKEA MAUAJI YA WATU WAWILI KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA YALISABABISHWA NA VURUGU BAINA YA WAFUASI WA CCM NA UKAWA.
AKIWASILISHA HABARI HIYO KAMANDA WA CHADEMA KUTOKA TUNDUMA ANASEMA “WALIKUA WANATOKA MKUTANONI NDIPO WAFUASI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WALIPOZUIA NJIA KWA KUPANGA MAWE BARABARANI.WAKATI KIJANA WACHADEMA WAKISHUKA KUANZA ZOEZI LA KUONDOA MAWE NDIPO ALIPOTOKEA MFUASI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA KUMCHOMA KISU TUMBONI MMOJA WAO, BAADA YA HALI KUTOKEA ILIPANDISAHA HARI NA MUNKARI WA MAKAMANDA WACHADEMA NAO KWA TAHARUKI KUBWA WALIJIKUTA WAMEMVAA MFUASI HUYO NA KUMPIGA PAKA KIFO KILIPOMKUTA.









SAMAHANI SANA KWA PICHA HIZI MBAYA ZA TUKIO

Post a Comment: