BREAKING NEWZ : MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA MITA 200
Habari:Mahakama
kuu kanda ya Dar es Salaam imetoa maamuzi ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na
kada wa Chadema aliyekuwa akiiomba mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kwamba
wananchi wanatakiwa kukaa mita ngapi baada ya kupigakura.
Mahakama
hiyo imelitolea suala hilo ufafanuzi na kusema kuwa ni marufuku kwa wananchi
kukusanyika katika kituo cha kupigia kura na hata njee ya mita 200 hairuhusiwi
kwani ni kinyume cha sheria

Post a Comment: