BREAKING NEWZ : KIKWETE AHUTUBIA BUNGE LA KENYA
DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Mh Rais
wa Jamhuri Ya Muongano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete analihutubia bunge
la Kenya mchana huu.
Akihutubia
bunge hilo ambalo lilihuzuriwa pia na kiongozi mkuu wa upinzani Kenya Mh Raila
Odinga.Rais Kikwete amesema anajivubnia heshima hiyo aliopewa kuhutubia bunge
akiwa ni rais wa pili kufanya hivyo baada ya jonthan wa Nigeria tena ikiwa wiki
mbili kabla hajakabidhi ofisi kwa raisi ajaye wa awamu ya tano
Raisi
Kikwete amesema Kenya ni majirani zetu wa kudumu na ndio maana hakusita kufika
kujionea na kumaliza mgogoro wao wa mwaka 2007 hata pasipo kusubiri
mualiko.lakini pia akasisitiza kuwa ukaribu wa nchi hizo mbili ni mkubwa mno
katika masuala la kibiashara kwani mpaka sasa Kenya ndio nchi ya kwanza kutoka Africa
iliowekeza kwa kiasi kikubwa in Tanzania lakini ikiwa ni nchi ya nne kuwekeza Tanzania
baada ya China, United State na India.
Pia amesisitiza
kuwa muungano wanchi mbili hizi katika kuboresha miundo mbinu kama walivyofanya
kwenye ujenzi wa barabara ya namanga na hiyo iliyoanza kujengwa ya Teveta

Post a Comment: