Wednesday, 23 September 2015

wakazi kwa Manispaa ya Mtwara mjini ,jana walijitokeza kwa wingi kupita maelezo ya kawaida,katika mkutano wa mgombea wa urais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh. Edward Ngoyai Lowasa alipodhuru mkoani hapo kwa ajili kuomba kura zao,katika mkutano huo ambao watu walikuwa wengi sana na walionesha kumkubali mgombea huo tofauti na ilivyolipotiwa na asasi ya TWAWEZA NI SISI kuwa kasi ya mgombea huyo kukubalika kwa awananchi ni ndogo.akihutubia umati huu Mh Lowasa aliwaomba watanzania wasihadaike na takwimu za kupangwa kwani tathmini ya kweli ni tarehe 25/10 na hivyo kuwaomba wajitokeze kwa wingi kumpigia kura siku hiyo ya jumapili ya tarehe 25/10/2015  





















Post a Comment: