Sunday, 20 September 2015


Kwa mara nyingine tena ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakushirikisha ewe Mtanzania kuamua hatma ya nchi yako kupitia sanduku la kura.

Jumapili hii, Septemba 20, CHADEMA kitazindua mpango maalum wa kila mwananchi mpenda mabadiliko 2015, kusaidia mabadiliko kwa kuchangia kampeni za uchaguzi mkuu.

Usikose kufuatilia tukio hilo litakalohudhuriwa na viongozi wakuu wa UKAWA pamoja na Mgombea Urais, Edward Lowassa, likirushwa moja kwa moja na EATV kuanzia saa 12.00 jioni hadi saa 1.30.
Usikose hii.

Post a Comment: