RIPOTI YA TWAWEZA NI SISI IMEKOSA UHALISIA WA SASA
“Tafiti ilitotolewa na Aidan mkurugenzi mtendaji wa Twaweza
kwa kutumia sampuli ya watu 1848 ni ya kuwahaadaa watanzania kwa kile
kinachosemekana kuwa haina uhalisia wowote ndani yake, na ifahamike kuwa
twaweza wana maslahi yao binafsi na chama tawala CCM, hivyo basi watanzania
wasiwe na hofu juu ya takwimu iyo kwani maamuzi ya mwisho yapo mikononi mwa
wananchi octoba25”
“Ifahamike ya kwamba Twaweza ni taasisi inayofanya kazi kwa kufadhiliwa na vigogo
ndani ya chama tawala yaani ccm, hivyo ni wazi kwamba siku zote hawawezi
kupingana na ccm, uhalisia wa kwamba hali ya ccm ni mbaya kushinda uchaguzi
2015 ndio uliopelekea twaweza kuandaa tafiti hiyo ili kudanganya umma”
“Uwepo wa maria sarungi ni icon/taswira tosha kujua tafiti
zina base interest gani ,mchakato wowote wa
UTAFITI HUWA WAZI VIGEZO NA MASHARTI YA SIMU HIZO ULIKUA UMEZINGATIA
NINI?
INAKUAJE WAZEE WENGI HUMPENDEKEZA MAGUFULI HUKU
WALIOJIANDIKISHA ASILIMIA 68 NI VIJANA ,MNA AJENDA GANI KUKINZANA NA TAARIFA ZA
TUME, ?
IKIWA HATA KWA TAKWIMU HIZI
MLIZOJIPANGA NAZO KUKANDAMIZA NA KUADAHA MAONI YA WANANCHI WALIO WENGI
BADO ZIMEONYESHA MAGUFULI HANA MIKAKATI YA KIUCHUMI NA HANA MAONO NA
MABADILIKO.
TWAWEZA WAMEZINGUA SANA BANA ,ALAFU INAITWA TWAWEZA SISI
KWANINI MSINGEMALIZIA TWAWEZA SISIEM ILI TUJUE NI OFFICIAL AFFILIATES WA CCM
NA KWELI HAWA JAMAA
WAMEWEZA KUDANGANYA UMMA WANASEMA AFYA TATIZO KUBWA WAKATI MITAANI TUNAJUA KABISA
SHILLINGI YETU IMEANGUKA NA MFUMUKO WA BEI UMESHIKA KASI ALAFU MWASEMA
AFYA NUMBER MOJA LAITI WANANCHI WOTE WANGEHOJIWA WANGEWEZA KUONYESHA KUWA
UCHUMI MGUMU NDO MAANA HAWAWEZI KUGHARIBIA MIFUKO YA BIMA NA HATA MATIBABU .
KAMA CCM INA
WANACHAMA KADIRIO LA MILLIONI 6 NA BADO SIO TATHMINI YA WANACHAMA HAI HAO
WALIOHOJIWA 1848 TUNAJUAJE SIO VIJANA
WA UVCCM NA JUMUIYA YA WAZAZI ?
WAMEJIANDIKISHA WATU
ZAIDI YA MILLION ISHIRINI UNATUMIA WATU 1848 ALAFU MNALIPA MEDIA KULISHA
UMMA TAKWIMU DHAIFU KAMA CHAMA CHA MAPINDUZI
TUTAJUAJE HAMKUWAEKEA
WATU VOCHA PIA ALAFU KWA UMASIKINI WA WATANZANIA MNATEGEMEA MUMPE MTU SIMU
ALAFU AKUPE MAJIBU KINZANI SIO SAWA
MBONA HAMKUULIZA UMMA TATHMINI YA ESCROW NA UFISADI MWINGINE
IKIWEMO TAASISI DHAIFU KAMA TUME ZA
MAADILI ZISIZO NA MENO NA KUACHILIA WEZI
MITAANI
MLIPIGIA WATU SIMU RECORD YA SAUTI IKWAPI TUWEZE KUJUA
MLIPATA MAJIBU SAHIHI AU MMECOOK DATA NA KUWALETEA WANANCHI CHAKULA KIBICHI
KISA MNASIKIA TUNA NJAA YA MABADILIKO ???
MMEPUUZIA HATA KUULIZA KAMA WATU WANAPIGIA KURA CHAMA AU MTU
NA KULINGANISHA SERA NA ILANI NA KUHOJI UTEKELEZAJI WAKE KULIKO KUSEMA KILA SAA
MMEANZA SIKU NYINGI
TWAWEZA MMEHOJI WAZEE NDO MAANA MNASEMA WATU HAWAJUI
UCHAGUZI NI LINI NA SEHEMU AMBAZO WATU HAWAWEZI
Mmehoji watu 1848 na manasema nusu ya watanzania hawajui tarehe
sahihi ya kupiga kura ,alafu mnasema kusukumana ni changamoto mashine mbovu na watendaji hamjauliza watu malofa tushaamka
MMEBADILISHA WATU WA KUHOJI ALAFU MNASEMA NI KAWAIDA NA
UTARATIBU WAKATI WATU WAMEONGEZEKA BADALA YA KUONGEZA SAMPLE MNALETA MAGUMASHI
CCM NA TWAWEZA MMEPOTEZA IMANI NA WANANCHI KAMA REPORT ZENU NYINGINE MBOVU TU
KAMA SISIEMU KUPITIA NCHEMBA WALISEMA UCHUMI NA SHILLINGI
YA TANZANIA ILIANGUKA KWASABABU YA WANCHI KUCHEZA MCHEZO WA KUBETI HII TAFITI
NI MTAZAMO WA JANUARY NA TEAM YAKE YA
NDANI
UKAWA SIO NENO NA HAKIKA TAREHE ISHIRINI NA TANO MTAJUA
UKAWA NI NINI NA WANCHI WATAWAPA TAFITI
ZAO KUPITIA KURA SIO SIMU NA MJIANDAE KUZIPOKEA WANANCHI WAKISHA
WAFUNDISHA TOFAUTI YA CHANGA MOTO NA
MATATIZO NI NINI…
Post a Comment: