MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu
Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo
Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia
kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mume wa marehemu Celina Kombani, aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi
ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Ahmad Pangolani, wakati wa
shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki
Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.

Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga
mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mama Maria Nyerere, wakati alipowasili kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki kuaga na kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa
shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015.
Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia
kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Spika
wa Bunge la Jamhuri, Mama Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele
ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa katika foleni ya kwenda
kutoa heshima za mwisho wakati wa kuagwa mwili huo, kwenye Viwanja vya
Karimjee, leo
Post a Comment: