KUTOKA MAGAZETINI LEO 30/09/2015
Wananchi wazuia msafara wa Lowassa
Na Fredy Azzah, Korogwe MSAFARA wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana ulizuiwa na wananchi katika maeneo mbalimbali mkoani Tanga ambao sehemu nyingine walikuwa wamebeba madumu ya maji kumwonyesha jinsi wanavyotaabika na kero hiyo. Tukio la wananchi kusimamisha msafara wake wakiwa wamebeba madumu ya maji lilijitokeza katika eneo la Mkata wilayani Handeni ambao wananchi hao walimwambia kuwa hiyo ni ishara tosha kwamba wanakabiliwa na tatizo kubwa la maji. Lowassa anayeungwa mkono na vyama vya NCCR- Mageuzi, CUF...Published By: Mtanzania
Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?
KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadrJenerali Ulimwengu...Published By: Raia Mwema
Lowassa: Polisi acheni kupiga watu mabomu
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha polisi kuwapiga mabomu wananchi wa Tanga waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wake....Published By: Mwananchi
Post a Comment: