HATIMAYE WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAPIGA KURA KUPATA UKWELI KUHUSU RIPOTI YA TWAWEZA NI SISI
Katika hali isiyo ya kawaida inayoonesha watanzania wengi kutoridhika na matokeo ya tafiti na takwimu za asasi ya TWAWEZA NI SISI zilizotolewa juzi 22/09/2015.Wafanyabiashara wa kariakoo jijini Dar es salaam siku nzima ya leo walikua wanapiga kura za maoni kupata tathmini halisi ya wananchi kabla ya uchaguzi mkuu wa oktoba 2015.hadi jioni inaingia na matokeo kutangazwa mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mh Edward Lowasa alikua anaongoza kwa 98 % dhidi ya mgombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Mh John Pombe Magufuli aliyepata asilimia 2 ya kura zote. kulinganisha na matokeo ya TWAWEZA NI SISI majibu hayo yamepingana kabisa na matokeo ya asasi hiyo
TAKWIMU ZA TWAWEZA ZILIKUA HIVI
Post a Comment: