BREAKING NEWZ MIKUTANONI : WANAWAKE HAI WAWASHA MISHUMAA KUOMBEA MABADILIKO 2015
LIVE KUTOKA MKUTANO WA KAMPENI ZA URAIS ZA MGOMBEA WA CHADEMA WILAYA YA HAI.
Wanawake wa wilaya ya hai wakiongozwa na Dr.Evodia pamoja na mama Regina lowasa muda huu wa jioni ya leo wamewasha mishumaa kama ishara ya mwanga umulike Tanzania nzima sambamba na maombi ya kuombea mabadiliko ya mwaka 2015 lakini pia kumuombea mgombea wa chadema Mh Edward Lowassa .
Post a Comment: