BREAKING NEWZ MIKUTANONI : MAGUFULI AJISHTAKI MWENYEWE
VILE VIOJA VYA WANASIASA WA TANZANIA KATIKA KUOMBA KURA VINAENDELEA SASA MKOANI DODOMA.
aliye kua waziri wa ujenzi kwa awamu mbili za uongozi zilizopita na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi Mh John Magufuli leo ni kama alikua akijishataki mwenyewe kwa wananchi baada ya kutoa agizo kwamba kuanzia leo mtu asichukue ardhi pasipo kulipwa fidia ilhali katika kipindi chake chote cha uongozi alishatoa maagizo kama hayo wakati akivunja nyumba za raia ambao mpaka sasa wana kesi mahakaman zidi ya wizara hiyo.
kujikumbusha : pitia link hii http://www.dullonet.com/?p=10592
Post a Comment: