BREAKING NEWZ MIKUTANONI : MH LOWASA AHIRISHA MKUTANO TANGA BAADA YA WATU KUFURIKA NA WENGINE KUZIMIA
pichani juu ni matukio tofauti yakile kilichoendelea leo mkoani Tanga katika mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais wa CHADEMA Mh Edward Lowasa ambapo watu alijaa sana kupita kiasi hali iliyopelekea wengine kuzidiwa na kupoteza fahamu.hadi naenda hewani watu wapatao 80 waikua wamepoteza fahamu hivyo kumlazimisha mgombea huo kuahiririsha mkutano huo
Post a Comment: