Thursday, 24 September 2015

MH JAMES MBATIA - mwenyekiti mwenza wa UKAWA


Mh Mbatia akiongea na vyombo mbalimbali vya habari mapema mchana huu leo. amesema  "utafiti wetu wa ndani uliofanywa na wataalam kutoka nje ya nchi umeeonesha Edward Lowassa atapata kura 74%. Na kwakua Twaweza Nisisi ni taasisi inayothamini midahalo tunawaalika kwenye midahalo wa kuitetea utafiti wao.Mbatia alisisitiza. @ccm_tanzania ilikataa kukubali maoni ya wananchi zaidi ya laki tatu kwenye rasimu ya katiba ya warioba, lakini leo wamekubali 1848 na haina shaka simu za mkononi na chaja zilizogawiwa ilikua ni rushwa iliyotolewa na @Twaweza Nisisi kwa washiriki wa utafiti wao"

Post a Comment: