Pages - Menu

Monday, 28 August 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMUAGA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE CUBA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Bi. Ana Teressa .jana Agosti 27/2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Havana ,baada ya kumaliza ziara ya kikazi Nchini Cuba. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment