Pages - Menu

Monday, 21 August 2017

Raisi John Magufuli amteua naibu mkurugenzi wa TAKUKURU


                                Raisi John Magufuli

Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.

No comments:

Post a Comment