Wazee wa kisukuma wakimtawaza Mh Lowassa kuwa chifu wa mpya
Mh lowassa akipokea mkuki kutoka kwa wazee wa mila ya sukuma
Mgombea urais kwa tiketi ya chadema Mh Edward Lowassa akihutubia wakazi wa Geita

maelfu ya wakazi wa Geita walijiotokeza kwenye mkutano wa mgombea urais wa Chadema




No comments:
Post a Comment