Pages - Menu

Friday, 23 October 2015

BREAKING NEWZ : MAHAKAMA YATOA HUKUMU KESI YA MITA 200































Habari:Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imetoa maamuzi ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na kada wa Chadema aliyekuwa akiiomba mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kwamba wananchi wanatakiwa kukaa mita ngapi baada ya kupigakura.

Mahakama hiyo imelitolea suala hilo ufafanuzi na kusema kuwa ni marufuku kwa wananchi kukusanyika katika kituo cha kupigia kura na hata njee ya mita 200 hairuhusiwi kwani ni kinyume cha sheria

No comments:

Post a Comment